Kwanini Polepole ni mnafiki? Kwa sababu analalamikia mfumo alioshiriki kuujenga. Zama za Magufuli, Polepole hakutaka kusikia watu wenye mawazo tofauti ya yake binafsi, ya Magufuli au ya CCM yake. Sasa Magufuli kafariki, hana pa kushikilia, anakuja na porojo za “ukweli lazima usemwe.”
Polepole alijisahau kama yule haramia Musiba au Bashite. Hawa watu wali…


