Katika toleo la wiki hii la kijarida cha #ChahaliNaTeknolojia, nimefanya uchambuzi kuhusu hatua ya January Makamba, William Ngeleja na Nape Nnauye kuwamgukia Jiwe baada ya maongezi yao ya faragha kunaswa kwa teknolojia ya “phobe bugging2 na kisha Musiba kuyamwaga maongezi hayo hadharani.
Pata access kwa kuwa mwanachama wa vijarida vitano vinavyounda #Bar…