Mwaka Kamili Tangu Halima Mdee Na Wenzake 18 Waapishwe Kuwa "Wabunge wa Viti Maalum Chadema." Ukweli wa Kiintelijensia "Uliofichika" Kuhusu Sakata Hilo.
Kwa mujibu wa kada mmoja wa Chadema huko Jamii Forums, jana ni mwaka kamili tangu Halima Mdee na wenzake 18 watangazwe na kuapishwa na Spika kuwa wabunge wa viti maalum wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).
Makala hii inafunua “ukweli uliofichika” kuhusa sakata hilo linalohusisha pande nne, namely,
Chadema
Tume ya Taifa ya Uchaguzi
Spika
Halima Mdee na wenzake 18