Idara ya Usalama wa Taifa Yatangaza Nafasi za Kazi
Ni Mara ya Kwanza Katika Historia ya Taasisi Hiyo Nyeti Kutangaza Nafasi za Kazi Hadharani
Kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania, Idara ya Usalama wa Taifa imetangaza nafasi za kazi hadharani. Kwa kawaida, mfumo wa ajira za kujiunga na taasisi hiyo huwa ni wa siri.
Hatua hiyo ni katika kutekeleza azma ya Rais Samia Suluhu Hassan ya markekebisho ya vyombo vya ulinzi na usalama.
Maelezo jinsi ya kufanya maombi ya kazi yanapatikana HAPA.
K…