Jasusi wako nimepokea maombi mengi ya watu wanaotaka kumfahamu huyo kigogo wa “Wasiojulikana” ambaye majuzi “amekutwa na la kumkuta.”
Nami nimejibidiisha hadi kufanikiwa kupata picha yake.

Mtu asiyejulikana sasa anajulikana 😎
TANGAZO: Jinsi ya kujiunga na #BaruaYaChahali: Uanachama kwa mwaka mzima ni sh100,00 au sh 10,000 kwa mwezi. Tuma mchango wako kwa…

