Mwanasheria bora kabisa nchini Tanzania, wakili msomi Peter Kibatala, amekubali ombi lililowasilishwa kwake na Mtumishi Wako kumsaidia mama mmoja aliyehukumiwa miaka 22 jela huko Iringa kwa kosa la kukutwa na nyama ya swala.
Awali mtumishi wako aliweka bandiko hilo huko Instagram