Huku Mama Samia akiipongeza Tabora United kwa kuibanjua Yanga 3-1, ziara yake nchini Cuba yaahirishwa kutokana na 'kimbunga Rafaeli'
Kuna matukio mawili yaliyojiri hapo jana ambayo yameibua mijadala kwenye mitandao ya kijamii hususan Twita
Tukio la kwanza
Tukio la pili
Mijadala kuhusu tukio la kwanza
Awali taarifa kutoka Cuba zilionyesha kuwa maandalizi yote ya ziara ya Rais yalikuwa yakiendelea vema.
Lakini wakati serikali ikieleza kuwa maandalizi hayo yalikuwa yakiendelea vema, tayari kulikuwa na mijadala ya chinichini kuhusiana na na suala hilo.