Huku Jiwe Akiongopa Waziwazi Kuhusu January, Mwiny Nae Asikitishwa

Mambo Ni Mengi Lakini Muda Ni Mchache

Kwa mujibu wa latest info, wakati picha hii inadaiwa kutompendeza Mzee Mwinyi

Jiwe nae anashutumiwa kwa kutokuwa mkweli kuhusu sababu za kumfukuza kazi January.

Lakini kubwa zaidi ni mustakabali wa kisiasa wa mwanasiasa huyo kijana, na mustakabali wa “kundi” lake. Je Zitto amemwaga dondoo kuhusu hilo katika “utetezi” wake kwa January?

Unaweza kupata taarifa kamili na uchambuzi kwa kujiunga uanachama wa #BaruaYaChahali

Jinsi ya kujiunga: Uanachama kwa mwaka mzima ni sh100,00 au sh 10,000 kwa mwezi. Tuma mchango wako kwa m-pesa namba 0767632516 (jina Khadija Katule). Kwa walio nje ya Tanzania, unaweza kuchangia kwa KUBONYEZA HAPA.

Endapo unataka kuondolewa kwenye orodha ya wanaotumiwa #BaruaYaChahali JIONDOE HAPA.

Ndimi mtumishi wako

Evarist Chahali