Huenda wajiuliza "mie ni nani hasa hadi ufanyike ujasusi dhidi yangu?" Endelea kujidanganya au zingatia tahadhari hizi 9 muhimu za kijasusi
Makala hii ilichapishwa kwenye akaunti ya Jasusi kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram Februari 9, 2019.
Mada ya leo inahusu UJASUSI. Kwa maana rahisi, ni mtu/watu kutumia mbinu za kishushushu kupata taarifa zako na/au kukudhuru
.
Nani anaweza kufanya ujasusi dhidi yako?
.
Jibu fupi: mtu yeyote yule.
Jibu refu: #WatuWasiojulikana, adui yako, ex wako, mshinda…