
Majasusi hutegemea sana hisia ya sita ((6th sense) katika kufanya baadhi ya maamuzi yao. Na hisia ya sita ilinituma kutowaandalia na kuwatumia #BaruaYaChahali kwa sababu nafsi ilikuwa ikinitaka nisubiri. Awali nilipanga kuandika kuhusu jinsi CCM ya Magufuli ilivyokumbwa na kiwewe baada ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa CUF, Seif Sharif Hamad aka Maalim Seif k…

