Heri ya Siku Yako ya Kuzaliwa Mheshimiwa Nape Nnauye
Miaka 47 iliyopita (07/11/1977) tarehe kama ya leo alizaliwa Mwanasiasa, Kiongozi, Rafiki na Mshikaji Nape Moses Nnauye.
Jina lake halisi ni Napelepe, jina ambalo ni msemo wa Kimakonde lenye maana ya “Hata usiku uwe mrefu namna gani kutakucha”(It shall come to pass).
Jina la Baba yake Brig. Gen (Rtd) Nnauye, nalo ni msemo wa Kimakonde, lenye maana ya “U…