Heri ya mwaka mpya 2024: ubashiri wa kiintelijensia kuhusu yanayotarajiwa kujiri mwaka huu ndani na nje ya Tanzania
Heri ya mwaka mpya 2024. Kijarida hiki kilikuwa mapumzikoni katika muda wote kutoka sikukuu ya Krismasi hadi leo siku ya mwaka mpya, ambapo machapisho yatawajia kama kawaida.
Pia mwaka huu mpya una habari njema zaidi kwenu wasomaji wa kijarida hiki kwani “Jasusi App” ipo katika hatua za mwisho za matengenezo na itakuwa tayari kupakuliwa Google Play Store na App Store hivi karibuni. App hiyo itakuwa na kijarida hiki, Ujasusi Blog na AdelPhil Online Academy. Mtahabarishwa.
KITABU
Pia kwa wale walio nje ya Tanzania, kitabu hiki kipatikana AMAZON
Twende kwenye mada husika. Ufuatao ni ubashiri wa kiintelijensia kuhusu yanayatarajiwa kutokea nchini Tanzania katika mwaka huu 2024 sambamba na matukio yanayotarajiwa mwaka huu katika anga za kimataifa.