Heri ya Krismasi kutoka kijarida cha #BaruaYaChahali
Habari Media Project inayojumuisha kijarida hiki cha Barua Ya Chahali, blogu ya Ujasusi, Chuo cha Mtandaoni cha AdelPhil na duka la vitabu la ChahaliBooks unawatakia heri na baraka za sikukuu ya Krismasi.
Endapo unafikiria kumpa Jasusi zawadi ya Krismasi, atashukuru ukimsaidia kusambaza tangazo la kitabu chake kipya cha “Ujasusi Ni Nini na Je Majasusi Wa…