Mtumishi na jasusi wako anakutakia heri na baraka za sikukuu ya Krismasi, sambamba na maandalizi mema ya kuupokea mwaka mpya 2022.
Licha ya matusi ya wahuni mbalimbali na hujuma kutoka kwa makundi tofauti, mtumishi wako ataendelea kukutumikia.
Sikukuu njema