Happy Birthday Tanganyika. Tupambane na "Waliovimbiwa" na Amani Yetu. Na Happy Birthday Jasusi Pia.
Tanganyika ilipata uhuru wake tarehe kama ya leo, miaka 60 iliyopita. Desemba 9 mwaka 1961.
Huu ni umri wa mtu mwenye wajukuu na hata vijukuu.
Pamoja na changamoto mbalimbali, tunapaswa kujivunia kufika hapa tulipo leo. Kuna wenzetu wengi wanaotamani kuwa kama sie lakini hali kwao ni mbaya.
Ndio maana wakati tunaadhimisha siku hii muhimu, ni lazima tupamb…