Happy Birthday Tanganyika, Happy Birthday Jasusi
Katika kuadhimisha kumbukumbu ya siku yangu ya kuzaliwa - ambayo pia ni kumbukumbu ya uhuru wa Tanganyika na Jamhuri - mimi Evarist Chahali napenda kwa dhati kabisa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunilinda na kuniwezesha kufikisha umri mwingine.
Kadhalika, nawashukuru marehemu baba Mzee Chahali na marehemu Mama Chahali kwa kuwa wazazi bora walioniwezesha …