Happy birthday Tanganyika, Happy birthday #Jasusi, unaalikwa #Twitterspace ya maadhimisho hayo na uzinduzi wa kitabu cha "Ujasusi Ni Nini, Na Je Majasusi Wanafanya Kazi Gani Hasa" Leo 4pm TZ Time
Heri ya siku ya kuzaliwa Tanganyika/Tanzania.
Heri siku ya kuzaliwa Jasusi.
Matukio haya mawili yanaadhimishwa kwa uzinduzi rasmi wa kitabu cha Ujasusi ni Nini na Je Majasusi Wanafanya Kazi Gani Hasa a.k.a kitabu cha Ujasusi.
Kuna episode hapa ya podcast inayoeleza kwa undani kuhusu haya