#HabariTanzania: gazeti jipya la bure la kila wiki
Taasisi ya Habari Media Project inayomilikiwa na mtumishi wako - ambaye pia ni Jassui wako - ina furaha kubwa kuwafahamisha kuhusu kuzinduliwa kwa gazeti la bure la kila wiki, liitwalo HABARI TANZANIA.
Toleo la kwanza la gazeti hili la mtandaoni limesambazwa jana kwa mamia ya wasomaji waliojisajili kutumiwa.
Habari njema ni kwamba zoezi la kujisajili ni e…