Barua Ya Chahali

Share this post

Gazeti la RAIA MWEMA toleo la Januari 25 - 31, 2023 (na makala yangu gazetini humo)

www.baruayachahali.com
Makala Magazetini

Gazeti la RAIA MWEMA toleo la Januari 25 - 31, 2023 (na makala yangu gazetini humo)

Evarist Chahali
Jan 25
Share this post

Gazeti la RAIA MWEMA toleo la Januari 25 - 31, 2023 (na makala yangu gazetini humo)

www.baruayachahali.com

Kama bado, jiunge leo kuwa mwanachama wa kulipia (paid subscriber) wa kijarida hiki cha Barua Ya Chahali

Na makala ya mtumishi wako aka Jasusi

MENGINEYO

Barua Ya Chahali
Ujio wa Lissu Januari 25: Mtihani wa kwanza kwa Mkurugenzi Mkuu mpya wa Idara ya Usalama wa Taifa, Said Masoro
Makamu mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, ametangaza kurudi nyumbani Januari 25 mwaka huu. Hii ni mara ya pili kwa Lissu kutangaza kurudi nyumbani, ambapo mwaka jana alieleza kuwa yeye na kiongozi mwingine wa chama hicho aliyepo hifadhini nchini Canada, Godbless Lema, wangerudi mnamo mwezi Machi 2022…
Read more
23 days ago · 3 likes · 1 comment · Evarist Chahali
Barua Ya Chahali
Tathmini ya kiintelijensia kuhusu fursa na changamoto kwa Mkurugenzi Mkuu mpya wa Idara ya Usalama wa Taifa, Said Masoro [Sehemu ya Pili: Changamoto]
Jumanne Januari 3, Rais Samia Suluhu alimteua Said Masoro kuwa Mkurugenzi Mkuu mpya wa Idara ya Usalama wa Taifa. Masoro aliteuliwa kushika nafasi hiyo nyeti kabisa kufuatia mtangulizi wake, Diwani Athumani, kuondolewa na kupewa nafasi ya Ukatibu Mkuu Ikulu…
Read more
a month ago · Evarist Chahali
Barua Ya Chahali
Tathmini ya kiintelijensia kuhusu fursa na changamoto kwa Mkurugenzi Mkuu mpya wa Idara ya Usalama wa Taifa, Said Masoro [Sehemu ya Kwanza: Fursa]
Juzi, Januari 3, Rais Samia Suluhu alimteua Said Masoro kuwa Mkurugenzi Mkuu mpya wa Idara ya Usalama wa Taifa. Masoro aliteuliwa kushika nafasi hiyo nyeti kabisa kufuatia mtangulizi wake, Diwani Athumani, kuondolewa na kupewa nafasi ya Ukatibu Mkuu Ikulu…
Read more
a month ago · 2 likes · 1 comment · Evarist Chahali
Barua Ya Chahali
Uchambuzi wa kiintelijensia kuhusu kung'olewa kwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Diwani Athumani, na kuteuliwa kwa Said Masoro kushika wadhifa huo nyeti
Jana Januari 3, 2023 Rais Samia Suluhu alimng’oa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa, Diwani Athumani Msuya, na badala yake kumteua veterani wa Idara hiyo, Said Masoro, kushika wadhifa huo nyeti. Ikumbukwe tu kuwa Jasusi sio tu alibashiri mara kadhaa huko nyuma kuwa Diwani angeng’olewa…
Read more
a month ago · 4 likes · Evarist Chahali
Share this post

Gazeti la RAIA MWEMA toleo la Januari 25 - 31, 2023 (na makala yangu gazetini humo)

www.baruayachahali.com
Previous
Comments
TopNewCommunity

No posts

Ready for more?

© 2023 Evarist Chahali
Privacy ∙ Terms ∙ Collection notice
Start WritingGet the app
Substack is the home for great writing