Fainali Uenyekiti Chadema Leo: Ubashiri Kuhusu Nani Atashinda Kati ya Mbowe vs Lissu/Heche vs Wenje
Hatimaye kinyang'anyiro cha kuwania uenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ngazi ya taifa kinafikia tamati leo ambapo mkutano mkuu wa chama hicho utapiga kura kumchagua aidha Mheshimiwa Freeman Mbowe kuendelea na wadhifa huo au kumchagua Mheshimiwa Tundu Lissu ambaye amekuwa Makamu wa chama hicho upande wa Bara.
Kadhalika, mkutano huo …