Rais Felix Tshisekedi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo amefanya mabadiliko makubwa katika Idara ya Usalama wa Taifa ya nchi hiy, ANR, kwa kumtimua mkuu wa taasisi hiyo na kuteua mkuu mpya. Kadhalika, ameteua mshauri wake mpya wa masuala ya usalama.