Barua Ya Chahali

Barua Ya Chahali

Share this post

Barua Ya Chahali
Barua Ya Chahali
Dear Mama @SuluhuSamia, vyombo vya dola vichukue hatua za haraka dhidi ya uzushi unaofanywa dhidi ya Mheshimiwa January Makamba, uzushi ambao unaweza kuchafua taswira nzuri ya serikali yako
Copy link
Facebook
Email
Notes
More

Dear Mama @SuluhuSamia, vyombo vya dola vichukue hatua za haraka dhidi ya uzushi unaofanywa dhidi ya Mheshimiwa January Makamba, uzushi ambao unaweza kuchafua taswira nzuri ya serikali yako

Evarist Chahali's avatar
Evarist Chahali
Apr 30, 2023
∙ Paid
6

Share this post

Barua Ya Chahali
Barua Ya Chahali
Dear Mama @SuluhuSamia, vyombo vya dola vichukue hatua za haraka dhidi ya uzushi unaofanywa dhidi ya Mheshimiwa January Makamba, uzushi ambao unaweza kuchafua taswira nzuri ya serikali yako
Copy link
Facebook
Email
Notes
More
Share

Dear Mama Samia,

Nakusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kazi iendelee.

Nakuandikia waraka huu kwa sababu kuu tatu.

Kwanza, ninakuunga mkono kwa sababu, kwa upande mmoja, kufanikiwa kwako ni kufanikiwa kwetu sote, na kwa upande mwingine, ni imani yangu kwako kuwa unaweza kuifikisha Tanzania mahali inapostahili kuwa.

Pili, mie ni mmoja wa wahanga wa mengi yaliyojiri zama za utawala uliopita. Miongoni mwa maumivu niliyopitia ni kuzushiwa tuhuma hatari kupitia mitandao ya kijamii na kwenye baadhi ya vyombo vya habari. Mfano hai ni tuhuma zilizotolewa na Cyprian Musiba Februari 26, 2018 ambapo alinituhumu kuwa miongoni mwa “watu hatari” kwa usalama wa taifa letu. Kadhalika, Musiba alinituhumu kuwa nilikuwa natumiwa na majasusi wa nje ya nchi kumhujumu Rais wa wakati huo, yaani marehemu Magufuli.

Tatu ni ukweli kwamba suala ambalo limepelekea kukuandikia waraka huu lina athari kwa waziri husika, serikali yako na hata kwako mwenyewe.

Kuna tuhuma nzito zinatolewa dhidi ya Waziri wa Nishati, Mheshimiwa January Makamba, ambazo kama makala hii inavyotanabaisha, zina athari kubwa kwa Mheshimiwa January, serikali yako Mama yetu, na pengine hata dhidi yako mwenyewe.

Tuhuma husika:

This post is for paid subscribers

Already a paid subscriber? Sign in
© 2025 Evarist Chahali
Privacy ∙ Terms ∙ Collection notice
Start writingGet the app
Substack is the home for great culture

Share

Copy link
Facebook
Email
Notes
More