Dear Mama Samia, Haipendezi Kuona Waziri Mkuu Majaliwa Anaongopa Mara kwa Mara. Inapoteza Imani ya Wananchi kwa Serikali Yako
Kwa vile sie wengine hata tukikaa kimya twaitwa wachochezi, basi ni vema niache ushahidi huu mbalimbali uonyeshe jinsi gani Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amekuwa akitoa taarifa potofu mara kwa mara. Mie nadhani anafanya hivyo makusudi kwa sababu anaamini kwamba sio tu hakutokuwa na hatua zozote dhidi yake bali anawaona Watanzania “hamnazo” wapo bize na ub…