Dada Mhitimu wa LLB Anahitaji Msaada Wako
Natumaini tangazo hili halitokukera. Kuna faraja kubwa katika kuwasaidia wenzetu wenye mahitaji mbalimbali.
Endapo una nia ya kumsaidia dada yetu basi wasiliana nami mtumishi wako HAPA nikuunganishe na mhusika
Ndimi mtumishi wako,
Evarist Chahali