Dada Huyu Anakupa Fursa ya Usambazaji Bidhaa

Kaka Evarist shikamo pole na kazi, me niyule mdogo wako ulienisaidia kipindi kile cha nazi Hii ni page yangu ingine. kaka me nimejiunga na Neolife. Sasa nauza products za Neolife natafuta watu watakaopenda kujiunga na fursa hii maana kuna watu wengi najua wapo wapo tu na wengine wanatafuta chakufanya ila hawajui pakuanzia I think kunawengine wanakufuata kukuuliza chakufanya.

Hii fursa ni nzuri sababu watapata training na wakiuza bidhaa watapata profit na bonus..

Kama kuna watu wanatafuta fursa kaka yangu nakuomba uni connect nao..

Pia natafuta watu wenye matatizo mbalimbali ya kiafya iliniweze kuwapatia huduma..

Kaka Evarist Nakupenda sana kaka yangu Asante sana kwakutushika mkono sisi wadogo zako mwenyezi Mungu akutunze na Ubarikiwe sana.

Naomba nishauri au niongezee maarifa ili niweze kusonga mbele zaidi na zaidi..

Asante.

Mdogo wako.

Caroline Makengo