Chadema wanapaswa kuweka rekodi sawia kuhusu video ya hotuba ya Mheshimiwa Mbowe huko Mwanza
Jana kulizuka “vijimaneno” kuhusu video ya hotuba ya Mheshimiwa Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema Taifa, aliyoitoa huko Mwanza, juzi. Iangalie video husika hapa chini