Bonomade Machude Omar a.k.a. Ibn Omar a.k.a. Abu Suraka, Mtanzania kiongozi wa kundi la kigaidi la ISIS- Msumbiji, auawa
Mkuu wa Majeshi ya Jeshi la Msumbiji Joaquim Rivas Mangrasse alitangaza siku ya Ijumaa kuuawa kwa kiongozi wa ugaidi nchini humo, Mtanzania Bonomade Machude Omar pamoja na magaidi wengine.