Bila Kuuma Maneno, Mheshimiwa @zittokabwe Amkemea Mhadhiri Dokta Thabiti Jakobu (@ThabitSenior) Aliyekuwa Sapota Mkubwa Wa Unyanyasaji Wa Kigogo Japo Sasa Msomi Huyo Na Kigogo Wamegeukana

Tafsiri: “Shemasi uliyekuwa ukimsujudia alipokuwa ananyanyasa watu hususan wanawake hapa. Je waweza kuomba radhi kwanza kwa ufuasi wako wa bila kuhoji kwake kabla hujajifanya kubadilika? Wajibika kwanza.
Hata hivyo, Dokta Thabiti ambaye ni mhadhiri wa Kitanzania huku ughaibuni aligoma kuomba radhi