Kwanza shukrani kwenu wadau wote mnakiunga mkono kijarida hiki kupitia uanachama wenu (paid subscribers). Shukrani pia kwa mliojiunga bila kuwa wanachama.
Makala hii fupi inaeleza jinsi mtu anavyoweza kujiunga kuwa mwanachama (paid subscriber) wa kijarida hiki.
Mtumishi wenu anaomba msaidie kuwakaribisha ndugu, jamaa na marafiki, sambamba na kufikiria kuwa wanachama (paid subscriber) kwa wale ambao hawajafanya hivyo.
Kijarida hiki kina mengi ya kuwaletea ambayo hayapatikani sehemu nyingine yoyote ile.
Habari mkuu, nilipia kwa mwezi tangu 01/03/2024 ila kila nikitaka kusoma machapisho ya kulipiwa mifumo inanidai ku upgrade, naomba msaada mkuu