Barua inayodaiwa kuwa ya 'tuzo kwa mmiliki wa hoteli inayowasapoti mashoga' yazua kizaazaa kwenye mitandao ya kijamii Tanzania
Barua moja inayodaiwa kuhusu “tuzo ya kutambua mchango wa mmiliki ya hoteli inayowasapoti mashoga” imesambaa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii.
Awali, Jasusi alitumiwa barua hiyo ili aibandike kwenye kurasa zake mitandaoni.