BARUA: Dear Mama @SuluhuSamia, ikikupendeza, ingilia kati kuhusu kifungo cha miaka mitatu dhidi ya Mchungaji Mbarikiwa kwa kosa la kuendesha huduma ya kiroho bila kuisajili
Dear Mama Samia,
Pole na majukumu ya uongozi wa taifa letu.
Kwanza samahani endapo kukuandikia barua hii kutaleta tafsiri ya kukuelekeza nini cha kufanya. Lengo sio kukuelekeza bali kukushauri Mama yetu, na kilichonisukumu kuandika barua hii ni imani yanu kwako kuwa ni msikivu, mwenye upendo na mwenye huruma.
Dear Mama Samia, jana Mahakama ya Hakimu Mkazi …