Barua Ya Chahali

Barua Ya Chahali

Balozi wa USA Amtembelea Mkewe Azory

Tutegemee Povu Kutoka Kwa Kamati Kuu Ya Roho Mbaya?

Evarist Chahali's avatar
Evarist Chahali
Dec 19, 2019
∙ Paid
2
Share

Naomba kuwasilisha habari husika kama ilivyo

Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Dk Inmi Patterson amemtembelea Anna Pinoni ambaye ni mke wa mwandishi wa habari wa kujitegemea wa kampuni ya Mwananchi Communication Limited (MCL) mkoani Pwani, Azory Gwanda.

Azory alitekwa na watu wasiojulikana Novemba 27, 2017 ambapo kwa mujibu wa Anna, siku hiyo asub…

This post is for paid subscribers

Already a paid subscriber? Sign in
© 2025 Evarist Chahali
Privacy ∙ Terms ∙ Collection notice
Start writingGet the app
Substack is the home for great culture