Baada Ya Kuficha Vifo Vya Korona, Sasa Serikali Ya Magufuli Yatumia Picha Feki Za 'Watalii.'

Ukweli kuhusu ndege hiyo ni huu pichani. Haijafanya safari ya kwenda Tanzania

Ukweli ni kwamba tofauti na porojo zao za ujio wa watalii, mamia ya raia wa kigeni wameondoka Tanzania kutokana na korona

Nikuache na chapisho langu hili (kama hujalisoma)

Ndimi mtumishi wako,

Evarist Chahali