Baada ya kampuni ya Meta inayomiliki FB, Whatsapp na Insta kuzindua mtandao mpya wa kijamii uitwao Threads huku mamilioni wakijiunga, Twita "yapaniki", yatishia kwenda mahakamani
Hatimaye kampuni ya Meta inayomiliki Instagrama, Facebook na Whatsapp jana imezindua mtandao mpya wa kijamii uitwao THREADS.
Kama ilivyoelezwa katika kijarida hiki hapo jana, mtandao huo mpya wa kijamii umepokelewa kwa mtikisiko mkubwa ambapo ndani ya masaa 24, zaidi ya watumiaji wapya milioni 30 walikuwa wamejisajili na kuvunja rekodi ya mitandao yote …