Aliyetafuna Michango Iliyotokana na Hashtag #FreeErickKabendera Kabla ya Kumdhihaki Mwanahabari Huyo Alipoachiwa, Sasa Yupo Vitani na Kila Anayetaka Busara Itumike Kumaliza Kesi ya Mbowe
Nitarudia kutamka hili tena na tena. Japo Katiba Mpya ni muhimu kwa mustakabalia wa taifa letu, lakini la muhimu zaidi ni kuwajengea Watanzania uwezo wa kiakili. Kwa sababu kwa akili hizi za kushikiwa, hata tukipata katiba mpya kila baada ya masaa 24 hakutokuwa na mabadiliko yoyote.
Natanabaisha haya kufuatia sakata linaloendelea kufuatia, kwa upande mmo…