#AGRF2023TZ: Tanzania kuwa mwenyeji wa mkutano mkubwa wa Afrika wa chakula na kilimo
Tanzania kuwa mwenyeji wa mkutano mkubwa wa Afrika wa chakula na kilimo*
Tanzania itakuwa mwenyeji wa mkutano mkubwa wa Afrika wa masuala ya chakula na kilimo utakaofanyika Septemba 5 mpaka 8 mwaka huu.
Ijumaa wiki hii (Machi 17), Rais Samia Suluhu Hassan atazindua maandalizi ya mkutano huo Ikulu, Dar es Salaam, hii ni kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Mawasili…