Barua Ya Chahali

Share this post
AdelPhil Online Academy imehamia hapa
www.baruayachahali.com
AdelPhil Online Academy

AdelPhil Online Academy imehamia hapa

Evarist Chahali
Dec 31, 2021
Share this post
AdelPhil Online Academy imehamia hapa
www.baruayachahali.com

AdelPhil Online Academy, moja ya vyuo vya kwanza Tanzania vya elimu ya mtandaoni, sasa inahamia hapa kutoka makazi yake ya sasa hapa.

AdelPhil Online Academy ni taasisi ya elimu mtandaoni inayolenga

  • Kukupatia uelewa mpya

  • Kukuongezea/kuboresha uelewa ulionao.

AdelPhil Online Academy inatumia teknolojia ya kisasa kabisa katika utoaji wa elimu.

Kinyume na mfumo wa elimu uliozoeleka wa "kutoka juu kwenda chini" ambapo maamuzi yote kuhusu elimu kwa mwanafunzi hufanywa na taasisi na/au mwalimu, AdelPhil Online Academy inampa mwanafunzi uwezo wa kushiriki maamuzi yanayohusu kozi/masomo husika.

Karibu sana kushiriki katika mapinduzi haya ya sekta ya elimu.

Kozi za awali zitakuwa

  • Usalama wa mtandaoni (Cybersecurity)

  • Jinsi ya kuwa mtu bora (personal development)

  • Stoicism

Maelezo zaidi yatawajia hapa.

Asanteni na karibuni.

Share this post
AdelPhil Online Academy imehamia hapa
www.baruayachahali.com
TopNewCommunity

No posts

Ready for more?

© 2022 Evarist Chahali
Privacy ∙ Terms ∙ Collection notice
Publish on Substack Get the app
Substack is the home for great writing