Kwanini uwe mwanachama (subscriber)?

Kwa sababu, kijarida hiki cha Barua ya Chahali kinaongoza nchini Tanzania kwa habari za kuaminika na uchambuzi wa taarifa mbalimbali za kiintelijensia. Kadhalika, kijarida hiki ni miongoni mwa vijarida bora kabisa duniani kwa lugha ya Kiswahili.

Kila toleo jipya la barua hii litakuijia moja kwamoja kwenye inbox yako.

Kijarida hiki kimetengenezwa na Substack.com.

Subscribe to Barua Ya Chahali

Jinsi ya Kutengeneza Mpesa VISA Card kwa kutumia USSD Code Hatua ya kwanza bofya * 150 * 00 # Chagua namba 4 (Lipa kwa Mpesa) Chagua namba 6 (Mpesa VISA Card) Chagua namba 1 (Tengeneza Kadi) Baada ya hapo utapokea namba za kadi yako zikiwa pamoja na CVV

People