
Barua Ya Chahali
Jinsi ya Kutengeneza Mpesa VISA Card kwa kutumia USSD Code Hatua ya kwanza bofya * 150 * 00 # Chagua namba 4 (Lipa kwa Mpesa) Chagua namba 6 (Mpesa VISA Card) Chagua namba 1 (Tengeneza Kadi) Baada ya hapo utapokea namba za kadi yako zikiwa pamoja na CVV
By registering you agree to Substack's Terms of Service, our Privacy Policy, and our Information Collection Notice


Simulizi za Jasusi
Riwaya mbalimbali. Baadhi za simulizi za kweli. Baadhi ni simulizi zinazokaribiana na ukweli. Na baadhi ni simulizi za kutunga. Ungana na Jasusi katika safari hii ndefu ya kukuelimisha, kukuhabarisha na kukuhabarisha