
Barua Ya Chahali
Jinsi ya Kutengeneza Mpesa VISA Card kwa kutumia USSD Code Hatua ya kwanza bofya * 150 * 00 # Chagua namba 4 (Lipa kwa Mpesa) Chagua namba 6 (Mpesa VISA Card) Chagua namba 1 (Tengeneza Kadi) Baada ya hapo utapokea namba za kadi yako zikiwa pamoja na CVV
By registering you agree to Substack's Terms of Service, our Privacy Policy, and our Information Collection Notice


Makala Magazetini
Makala za mtumishi wako Evarist Chahali katika gazeti la bure la kila wiki la PAMBAZUKO linalotoka kila Jumatatu.