AdelPhil Online Academy

Kozi mbalimbali za bure na za kulipia

Kitambo sijaweka somo kwenye kozi hii endelevu. Ni kutokana na kutingwa na majukumu mengine. Kama unamfuatilia kocha wako kwa muda mrefu, utakumbuka…
Maisha yangekuwa mazuri sana laiti tungefaulu kwenye kila jambo. Lakini maisha hayapo hivyo. Takriban kila mwanadamu ameshawahi kufeli, anafeli muda huu…
Mada ya leo ni fupi tu. Ukikumbana jambo, kuna njia kuu tatu za kukabiliana nalo. Njia hizo kwa pamoja huunda “mkakati wa ARC” - Accept (kubali), Reject…
Mie kocha wako ni mmoja wa Watanzania wanaoongoza kwa kutukanwa mtandaoni. Baadhi ya wanaonitukana nawafahamu japo idadi kubwa ni watu nisiowajua. Kosa…
Pengine somo hili limekujia huku unapitia wakati mgumu kiasi cha kuhoji maisha yana maana gani kwako. Japo inaweza kuwa sio ufumbuzi wa yanayokusibu…
1
Kuna kitu kinaitwa “attention economy” ambacho kina umuhimu mkubwa katika zama hizi za mapinduzi ya teknolojia. Kwa kifupi, kitu hiki kinamaanisha kuwa…
1
See all