Kozi ya #JinsiYaKuwaMtuBora: "Attention Economy" - Tunaishi Zama Ambazo "Attention" Ina Thamani Kama Pesa. Njia Mbili Muhimu Za Ku-"Control Attention."

www.baruayachahali.com
Kuna kitu kinaitwa “attention economy” ambacho kina umuhimu mkubwa katika zama hizi za mapinduzi ya teknolojia. Kwa kifupi, kitu hiki kinamaanisha kuwa “attention” - ile hali ya kutumia muda wako kwa mtu au kitu flani - ni kama bidhaa ghali. Kuelewa maana yake, angalia watu wanaoitwa “social media influencers.” Kutegemea umaarufu na idadi ya followers, baadhi ya watu hawa wanatengeneza mamilioni kwa kutangaza tu bidhaa au huduma mbalimbali.
Kozi ya #JinsiYaKuwaMtuBora: "Attention Economy" - Tunaishi Zama Ambazo "Attention" Ina Thamani Kama Pesa. Njia Mbili Muhimu Za Ku-"Control Attention."
Kozi ya #JinsiYaKuwaMtuBora: "Attention…