Natumaini hadi muda huu utakuwa umeshasikia audio ya maungezi kati ya Kinana na Nape ambayo imevijishwa makusudi. Kama hujaisikia, bonyeza hapo juu
Kilichofanyika haponi kwamba simu za wawili hao zimekuwa “bugged” yaani mawasiliano yao yananaswa.
Na huhitaji kuwa na akili kubwa kufahamu kuwa hii ni kazi inayomhusisha Jiwe mwenyewe. Sie wengine kwa kutumia jicho la kishushushu tunaweza pasi shaka kujua nani ataibuka mshindi katika vita hii.
TANGAZO: Jinsi ya kujiunga na #BaruaYaChahali (yenye mkusanyiko wa vijarida vitano kwa wiki)
Uanachama kwa mwaka mzima ni sh100,00 au sh 10,000 kwa mwezi. Tuma mchango wako kwa m-pesa namba 0767632516 (jina Khadija Katule). Kwa walio nje ya Tanzania, unaweza kuchangia kwa KUBONYEZA HAPA.
Endapo unataka kuondolewa kwenye orodha ya wanaotumiwa #BaruaYaChahali JIONDOE HAPA.
Ndimi mtumishi wako,
Evarist Chahali
Audio Ya Maongezi Kati Ya Kinana na Nape Yaliyodukuliwa Na Jiwe